Tumeshamaliza 'Kuwacheka' Yanga SC, sasa naomba Uongozi wa Simba SC ufuate haya Maelekezo yangu Muhimu kuelekea 23rd October Derby

Baada ya kuitoa Ihefu ya Angola, sasa mnajua kazi ndio inaanza.

Mmetumia muda mwingi kupiga domo kuhusu Yanga mnasahau kuwa mna timu mbovu.

Endeleeni na hasira zenu kwa Yanga maana ndio zitawafanya mshinde mechi zenu.

Huku ni kujihami mapema ili mkifungwa, useme ushauri wangu haukufanyiwa kazi.

Sisi hatuangaiki na wapiga domo.
Haya sasa na nyie mmepangiwa ihefu ya Tunisia
 
Kuna haja gani ya kufanya yote ayo na mnajinasibu mnayo timu bora baada ya kuwatoa Ihefu ya angola? Timu bora aihangaiki namna hii kwani si mnaenda kukutana na timu dhaifu iliyotolewa klabu bingwa?
Huna Akili Wewe yaani hujui / hujajua tu kuwa Simba SC na Yanga SC ni zaidi ya Vita katika Derby yao?

Fuatilia maandalizi ya Derbies za Al Ahly FC na Zamalek FC ( Egypt ), Kaizer Chiefs na Orlando Pirates FC ( South Africa ), Asante Kotoko FC na Hearts of Oaks FC ( Ghana ), Cotton Sports na Canon Yaunde ( Cameroon ), Sports Club Villa na Express ( Uganda ), Boca Juniors na River Plates ( Argentina ), AC Milan na Inter Milan ( Italy ), Bayern Munich na Borussia Dortmund ( Germany ) na Liverpool FC na Manchester United ( England ) kisha niambie huwa yanakuwa sawa wakiwa Wanacheza na Vilabu vingine?

Namalizia kwa kukuambia tuna huna Akili na umeanza Kuujua Mpira hivi karibuni ila wengine huu Mpira wa Tanzania ( Bongo ) tunaujua na tumeshashiriki mno katika Umafia ( Fitna ) zake mpaka hata Kuhatarisha haya Maisha yetu.
 
Sakho ni mchoyo na mpumbavu mno asicheze 🏃‍♂️
Hakuna Mchezaji ninayemchukia kwa sasa ndani ya Simba SC kama Pape Ousmane Sakho na nisifiche hata Siku nikikutana nae Mubashara ni lazima tu nitamsemea Mbovu na ikibidi hata Kuzichapa nae kama atakuwa na huo Ubavu.

Amelewa mno na sana Sifa halafu hana Maajabu yoyote yale Uwanjani kana Wengine waliomzidi ila hawana Shobo, Sifa wala Ushamba ( Umbwiga ) kama alionao.

Ninatamani hata asiwe anapangwa.
 
Baada ya kuitoa Ihefu ya Angola, sasa mnajua kazi ndio inaanza.

Mmetumia muda mwingi kupiga domo kuhusu Yanga mnasahau kuwa mna timu mbovu.

Endeleeni na hasira zenu kwa Yanga maana ndio zitawafanya mshinde mechi zenu.

Huku ni kujihami mapema ili mkifungwa, useme ushauri wangu haukufanyiwa kazi.

Sisi hatuangaiki na wapiga domo.
Sema ninyi vibonde wa al hilal
 
1. Kuanzia leo Jumanne Timu ikae Mafichoni hasa

2. Wachezaji wanyang'anywe Simu zao

3. Viongozi wapewe Kiapo na walishane Yamini

4. Wachezaji akina Manula, Boko, Tshabalala, Kapombe, Mkude, Chama, Nyoni na Inonga waangaliwe kwa Jicho Kali la Kiujasusi

5. Popote Timu itakapokuwepo Usiri mkubwa mno uwepo

6. Timu ( kwa nia Njema tu ) kwa Umuhimu wa hii Mechi itekwe ( iwe chini ) ya Wazee Wakiongozwa na Dalali na Kaduguda na baada ya 'Derby' itarudishwa kwa Uongozi kwa Mechi zingine za NBC Premier League

7. CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Mkuu wa Itifaki Makoye, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu wawe makini katika Usaliti wao kwa Watu ( Matajiri ) wa GSM

8. Ikiwezekana Timu ipelekwe kwa Wazee wetu wa Mkwajuni ( Kikwajuni ) kwa Maandalizi yao ambayo hayajawahi Kufeli kila Timu ( Simba SC ) ikicheza na Yanga SC.

9. Ile Miiko yote ya Marehemu Mwenyekiti Amri Bamchawi na Katibu Mkuu Priva Mtema kila Simba SC ikikaribia Kucheza na Yanga SC ifuatwe

10. Viongozi wa Matawi wasihusishwe hadi katika hatua za mwisho za Maandalizi kwakuwa wengi wao Njaa huwasumbua na GSM hupita Kwao kujua Siri za mwisho za Maandalizi ya Simba SC

11. Kitengo cha Propaganda kije na Jambo la Kutengeneza 'Mind Game' kwa Wapinzani ( Yanga SC ) ambao Kisaikolojia kwa sasa hawako vyema baada ya Matokeo mabaya ya Al Hilal FC huko nchini Sudan

12. Watu wa Kitengo cha Unyangindo ( Uchawi ) na Umafia ( Fitna ) wawe ni wale tu wenye huo Uwezo, wana Simba SC kweli, siyo Waoga na hawabahatishi

13. Kiundwe Kikundi cha Watu cha kufanya Ujasusi wa nini kinaendelea nje na ndani ya Uwanja Saa 72 ( Siku Tatu ) kabla ya Mechi kwani mara nyingi Mwenyeji akiwa ni Yanga SC huwa kuna Mambo makubwa yanafanyika

14. Watu wa Kukaa Vyumbani Kulinda Vyumba vya Wachezaji Saa 48 ( Siku Mbili ) baada ya kupewa Funguo na Meneja wa Uwanja wawe Screened hasa, Wachunguzwe na wawe Loyal kweli kwa Simba SC kwani baadhi yao hutumika na upande wa Pili kwa Utajiri wa GSM na ghafla kupitisha Vitu Vyumbani na hata Kuuza Ramani ya Vita

15. Kocha Mgunda na Benchi lake la Ufundi wamuonye sana Beki Inonga kwa Mizaha yake, back passes zake na Kujiamini Kwake kulikopitiliza.

Pia Mchezaji Sakho asianze kabisa kwani hana Msaada, Mchoyo na Mpumbavu mno.

Na wahakikishe Mabeki wa Simba SC wanacheza sana Mipira ya Juu kwani nimeanza kuona tena hilo Tatizo lililotugharimu huko nyuma limerejea tena na kwa Uwezo wa Mshambuliaji Hatari Mayele na Wengineo wa Yanga SC tunaweza Kulia na Kuaibika tena kwa Mkapa na Kulaumiana pia.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuomba Uongozi wa Simba SC kuwa uyafanyie Kazi yote haya kama kweli Jumapili ijayo ya tarehe 23 Oktoba, 2022 wanataka Kuwafunga Yanga SC.

Niwaombe pia wana Simba SC wote walioko hapa JamiiForums na ambao wana access na Viongozi wa Simba SC, Benchi la Ufundi na Wajumbe wa Bodi bila kumsahau Msemaji wa Simba SC tafadhali wafikishieni ( wafowadieni ) haraka huu Uzi wangu na haya niliyoyaeleza ili Wayatekeleze na Wawe Makini nao.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kusema kuwa ni kweli wametolewa CAFCL na tumewacheka na kuwabeza sana ila Yanga SC wakijua wanakutana na Simba SC huwa hawana Jambo dogo, Wanajiandaa na Kuimarika mno hivyo kama tusipokuwa makini nisiwe Mnafiki na Muongo Simba SC tutakuja Kufungwa tena na Yanga SC na hata hii Furaha yetu ya Kufuzu ( Kutinga ) Makundi CAFCL haitokuwa na maana tena.

Uhakika wa Matokeo niliyonayo ni kuwa Safari hii ( katika Derby ) Simba SC inaenda Kushinda ( Kumfunga Yanga SC ) na Ushindi pekee kwa Yanga SC Siku hiyo ni Sare / Suluhu tu.

Nawatakia Simba SC maandalizi Mema, Kila la Kheri, Mashabiki mjitokeze kwa Wingi mkajae Uwanjani na Inshaallah Mimi GENTAMYCINE naamini na sina Mashaka kuwa Simba SC itashinda.

Tuko pamoja Simba SC Nguvu Moja.
Mzee wa fukunyuku, vipi Manula ataanza au Kama kawa kakolanya??
 
Mambo ya uchawi ni ya kipumbavu kabisa, yaachwe mara moja. Timu iandaliwe kisayansi. Mengine uachiwe uongozi na benchi la ufundi badala ya porojo mtandaoni.
 
Si ninewasikia baadhi ya mikia wakisema wao focus yao ni mechi za kimataifa tu? Sasa imekuwaje tena kinyeo kimeanza kupwita?
 
Baada ya kuitoa Ihefu ya Angola, sasa mnajua kazi ndio inaanza.

Mmetumia muda mwingi kupiga domo kuhusu Yanga mnasahau kuwa mna timu mbovu.

Endeleeni na hasira zenu kwa Yanga maana ndio zitawafanya mshinde mechi zenu.

Huku ni kujihami mapema ili mkifungwa, useme ushauri wangu haukufanyiwa kazi.

Sisi hatuangaiki na wapiga domo.
Wewe na Ihefu ya Angola nani ana record nzuri katika ngazi ya continental?😆😆😆. Yani hata De Agosto ni wakubwa sana kwenu huko kimataifa, wewe hauko mbali sana na Zalan😆😆😆
 
Si ninewasikia baadhi ya mikia wakisema wao focus yao ni mechi za kimataifa tu? Sasa imekuwaje tena kinyeo kimeanza kupwita?
Ukiskia focus maana yake, ilikuwa kuanzia usajili, sio kuwa hatutaki kuzifunga hizi timu ndogo za nyumbani, hizi second teams kama Yanga, Big Stars,KMC e.t.c😆😆😆
 
1. Kuanzia leo Jumanne Timu ikae Mafichoni hasa

2. Wachezaji wanyang'anywe Simu zao

3. Viongozi wapewe Kiapo na walishane Yamini

4. Wachezaji akina Manula, Boko, Tshabalala, Kapombe, Mkude, Chama, Nyoni na Inonga waangaliwe kwa Jicho Kali la Kiujasusi

5. Popote Timu itakapokuwepo Usiri mkubwa mno uwepo

6. Timu ( kwa nia Njema tu ) kwa Umuhimu wa hii Mechi itekwe ( iwe chini ) ya Wazee Wakiongozwa na Dalali na Kaduguda na baada ya 'Derby' itarudishwa kwa Uongozi kwa Mechi zingine za NBC Premier League

7. CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Mkuu wa Itifaki Makoye, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu wawe makini katika Usaliti wao kwa Watu ( Matajiri ) wa GSM

8. Ikiwezekana Timu ipelekwe kwa Wazee wetu wa Mkwajuni ( Kikwajuni ) kwa Maandalizi yao ambayo hayajawahi Kufeli kila Timu ( Simba SC ) ikicheza na Yanga SC.

9. Ile Miiko yote ya Marehemu Mwenyekiti Amri Bamchawi na Katibu Mkuu Priva Mtema kila Simba SC ikikaribia Kucheza na Yanga SC ifuatwe

10. Viongozi wa Matawi wasihusishwe hadi katika hatua za mwisho za Maandalizi kwakuwa wengi wao Njaa huwasumbua na GSM hupita Kwao kujua Siri za mwisho za Maandalizi ya Simba SC

11. Kitengo cha Propaganda kije na Jambo la Kutengeneza 'Mind Game' kwa Wapinzani ( Yanga SC ) ambao Kisaikolojia kwa sasa hawako vyema baada ya Matokeo mabaya ya Al Hilal FC huko nchini Sudan

12. Watu wa Kitengo cha Unyangindo ( Uchawi ) na Umafia ( Fitna ) wawe ni wale tu wenye huo Uwezo, wana Simba SC kweli, siyo Waoga na hawabahatishi

13. Kiundwe Kikundi cha Watu cha kufanya Ujasusi wa nini kinaendelea nje na ndani ya Uwanja Saa 72 ( Siku Tatu ) kabla ya Mechi kwani mara nyingi Mwenyeji akiwa ni Yanga SC huwa kuna Mambo makubwa yanafanyika

14. Watu wa Kukaa Vyumbani Kulinda Vyumba vya Wachezaji Saa 48 ( Siku Mbili ) baada ya kupewa Funguo na Meneja wa Uwanja wawe Screened hasa, Wachunguzwe na wawe Loyal kweli kwa Simba SC kwani baadhi yao hutumika na upande wa Pili kwa Utajiri wa GSM na ghafla kupitisha Vitu Vyumbani na hata Kuuza Ramani ya Vita

15. Kocha Mgunda na Benchi lake la Ufundi wamuonye sana Beki Inonga kwa Mizaha yake, back passes zake na Kujiamini Kwake kulikopitiliza.

Pia Mchezaji Sakho asianze kabisa kwani hana Msaada, Mchoyo na Mpumbavu mno.

Na wahakikishe Mabeki wa Simba SC wanacheza sana Mipira ya Juu kwani nimeanza kuona tena hilo Tatizo lililotugharimu huko nyuma limerejea tena na kwa Uwezo wa Mshambuliaji Hatari Mayele na Wengineo wa Yanga SC tunaweza Kulia na Kuaibika tena kwa Mkapa na Kulaumiana pia.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuomba Uongozi wa Simba SC kuwa uyafanyie Kazi yote haya kama kweli Jumapili ijayo ya tarehe 23 Oktoba, 2022 wanataka Kuwafunga Yanga SC.

Niwaombe pia wana Simba SC wote walioko hapa JamiiForums na ambao wana access na Viongozi wa Simba SC, Benchi la Ufundi na Wajumbe wa Bodi bila kumsahau Msemaji wa Simba SC tafadhali wafikishieni ( wafowadieni ) haraka huu Uzi wangu na haya niliyoyaeleza ili Wayatekeleze na Wawe Makini nao.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kusema kuwa ni kweli wametolewa CAFCL na tumewacheka na kuwabeza sana ila Yanga SC wakijua wanakutana na Simba SC huwa hawana Jambo dogo, Wanajiandaa na Kuimarika mno hivyo kama tusipokuwa makini nisiwe Mnafiki na Muongo Simba SC tutakuja Kufungwa tena na Yanga SC na hata hii Furaha yetu ya Kufuzu ( Kutinga ) Makundi CAFCL haitokuwa na maana tena.

Uhakika wa Matokeo niliyonayo ni kuwa Safari hii ( katika Derby ) Simba SC inaenda Kushinda ( Kumfunga Yanga SC ) na Ushindi pekee kwa Yanga SC Siku hiyo ni Sare / Suluhu tu.

Nawatakia Simba SC maandalizi Mema, Kila la Kheri, Mashabiki mjitokeze kwa Wingi mkajae Uwanjani na Inshaallah Mimi GENTAMYCINE naamini na sina Mashaka kuwa Simba SC itashinda.

Tuko pamoja Simba SC Nguvu Moja.
Gentamycine ww ni genius ushauri ni huu lazima tuufikishe Kwa viongozi wetu hawa Uto ni mauza mauzo
 
Acha uoga wewe,na kwa mwendo huu gemu umepoteza kabla ya kuingia uwanjani
 
Back
Top Bottom