Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wewe ndo unasababisha yanga tuitwe kabwili fc.Makolo mshaanza
Shule zifunguliwe tu kwakwel.Jukwaa lishapoteza maanaMnaharibu hili jukwaa kwa maneno ya kihuni yasiyo na maana.
Jukwaa lishavamiwa na matakataka mengi sana siku hiziMnaharibu hili jukwaa kwa maneno ya kihuni yasiyo na maana.
Usijari kolo wangu.. Ila lazima tuseme kweli Yanga inawachezaji wazuri na wanajituma.. Leo hii biashara kufungwa na wananchi ni kitu Cha kawaida tu, kama mliwashindwa nyie bac ibaki hvyo msiforce tufananeKabwili relax[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila tambua leo labda mshinde uchi tu ndo pona yenu[emoji1787]Usijari kolo wangu.. Ila lazima tuseme kweli Yanga inawachezaji wazuri na wanajituma.. Leo hii biashara kufungwa na wananchi ni kitu Cha kawaida tu, kama mliwashindwa nyie bac ibaki hvyo msiforce tufanane
Mama j vipi? Unamuota Kapumbu ?Makolo mshaanza
Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa.
Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.