Tumeshamalizana na Biashara United, tunawafunga bao zisizopungua 3

Tumeshamalizana na Biashara United, tunawafunga bao zisizopungua 3

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa.

Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.
 
Ndo maana udhamini wa GSM ni wa mchongo. Unaambiwa kuanzia jana Biashara United wamelipiwa hotel ,malazi, kila kitu na GSM . Ilashavuja kwamba mechi ilishachezwa na GSM ni ishu ya Biashara leo kuachia magoli
 
Mnaharibu hili jukwaa kwa maneno ya kihuni yasiyo na maana.
 
Kabwili relax[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijari kolo wangu.. Ila lazima tuseme kweli Yanga inawachezaji wazuri na wanajituma.. Leo hii biashara kufungwa na wananchi ni kitu Cha kawaida tu, kama mliwashindwa nyie bac ibaki hvyo msiforce tufanane
 
Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa.

Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.

Imeisha hiyoooo[emoji3581][emoji3581][emoji736][emoji41][emoji1666][emoji1666][emoji91][emoji123]
Mnyamq hata Afanyaje hatuwezi nje ndani!
 
Wanaume wa Shoka tumeshawakojolea warembo 2 huko.. wakajifute kwao hatuwapi hata lesso
 
Back
Top Bottom