SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nendeni mkashitaki CAS tumechoka malalamiko yenu ya kitaahiraSio offside irudie hiyo clip.
Yaani hali ngumu haswa, bora Feitoto aje kuikomboa Yanga maana tokea aondoke Yanga inaporomoko tu
Kwamba kwenye ligi kuu hazishiriki sio? Basi sawaUnazilinganisha timu wakati moja ipo Klabu bingwa na nyingine ipo shirikisho? [emoji23]
Kulinganisha Yanga na timu itakayocheza Super League msimu ujao ni kuitukana CAFKwamba kwenye ligi kuu hazishiriki sio? Basi sawa
Nani kalalamika ?.Nendeni mkashitaki CAS tumechoka malalamiko yenu ya kitaahira
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuuUnaogopa wewe Utopolo hujui utakachokutana nacho kesho
I saw this clearlyWashika vibendera walikuwa na maamuzi ya kuibeba Simba kwa wazi kabisa, kuna mmoja faulo imetendeka mbele yake na mchezaji wa Simba, anasema mpira uelekee Vipers, naona refa wa kati akaona ujinga umezidi akasema mpira uelekee Simba.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kama Simba hii unayosema ina matatizo hiyo inatinga robo Fainali nikumbudhe ni simba ipi nzuri uliwahi kuiona ikicheza nusu fainali ya Caf champions league ama ConfederationTafsiri ya umoja siyo kujidanganya kwamba hatuna matatizo wakati uhalisia ni kwamba tunayo.
Mazembe na uto mmetolewa Champions league na hao tunaowapiga nje ndani afu mnapanua midomo tu eti mpira mbovu. Ulishaangalia mpira wa Al Hilal ya Ibenge aliyewatoa? Unavutia? Leo kacheze wewe uvutie na ushinde goli tano tuoneLabda utusaidie wewe uliyesema timu ni nzuri kwa kuwa tuna shots nyingi
Sio kweli, Ni jina la timu ndio ile ile ila ubora wa timu ni tofauti na Vipers iliyomtoa Tp Mazembe. Vipers hii imecheza michezo zaidi ya saba na hawana goli hata moja.Mazembe na uto mmetolewa Champions league na hao tunaowapiga nje ndani afu mnapanua midomo tu eti mpira mbovu. Ulishaangalia mpira wa Al Hilal ya Ibenge aliyewatoa? Unavutia? Leo kacheze wewe uvutie na ushinde goli tano tuone
Tunayo sana jana watu tunatazama mpira tunaombea uishe tu, wachezaji wanapoteza mipira ovyo tu yaani ili mradi ilikuwa presha tuTafsiri ya umoja siyo kujidanganya kwamba hatuna matatizo wakati uhalisia ni kwamba tunayo.
Ile ni mbeleko ya wazi.Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Pole kambane faisal mambo ya simba tuachie wenyeweTafsiri ya umoja siyo kujidanganya kwamba hatuna matatizo wakati uhalisia ni kwamba tunayo.
Vipers ilomtoa Mazembe mchezaji gani kaondoka? Bobos na Cesar hawakushiriki Champions league. Leta visingizio vingine. Na hiyo michezo saba mnayohesabiana ni pamoja na Raja,Horoya na SimbaSio kweli, Ni jina la timu ndio ile ile ila ubora wa timu ni tofauti na Vipers iliyomtoa Tp Mazembe. Vipers hii imecheza michezo zaidi ya saba na hawana goli hata moja.