Tumeshuhudia viongozi wa CHADEMA wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?

Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.

Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮

Pia soma, Kweli ambazo ni LAZIMA CCM /SAMIA wazikubali, ili Kuiponya NCHI ndani na Kimataifa , na waepukane na ADHABU za Kimataifa

Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
 
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Itakuwa ni akili zaidi kwako ukituambia kwa nini hao viongozi wameishitaki nchi ispipate misaada, au misaada ya nini. Bila ya hivyo ni rahisi kutambua asie na akili hapa ni nani.

Kumbuka, Nyerere alikuwa mwanzilishi wa kuziambia nchi nyingine "boycot South Africa", japo aliowapigania waliishi South Africa.
 
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?

Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.

Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮

Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Watu (wengi) wanafurahia vifo vyenu (vichache) kwa sababu mnawateka, mnawatesa, mnawaua, mnawaibia ...kifupi mnavuruga mustakabali mzima wa maisha yao!
Watu wanaomba msipewe kabisa misaada wala mikopo kwa sababu mnatumia pesa hizo kufanya yaliyotajwa hapo juu!
 
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?

Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.

Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮

Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Tumeona CCM wakiua wananchi zaidi ya 500!!
 
Misaada ya nini wakati mnasema mna raslimali hadi wazungu wanawaonea wivu? Si mtumie hizo raslimali?
 
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?

Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.

Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮

Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Iyo misaada ina faida gan mnapewa misaada na bado mnaendelea kukopa mapema mengi ya mabeberu

Mabeberu chadema akiongea na ila serikal ya wauwaji ikiongea nao mnawaita wadau wa maendeleo
 
Back
Top Bottom