instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Itakuwa ni akili zaidi kwako ukituambia kwa nini hao viongozi wameishitaki nchi ispipate misaada, au misaada ya nini. Bila ya hivyo ni rahisi kutambua asie na akili hapa ni nani.Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Kwani bado mnaendesha nchi kwa kutegemea misaada ya mabeberu?..Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Bahari,madini,ardhi yenye rutuba,wawapao misaada, Mabeberu "Noma sana!Kwanini mnategemea misaada kutoka kwa hao mnaowaita mabeberu?
Watu (wengi) wanafurahia vifo vyenu (vichache) kwa sababu mnawateka, mnawatesa, mnawaua, mnawaibia ...kifupi mnavuruga mustakabali mzima wa maisha yao!Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮
Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Tumeona CCM wakiua wananchi zaidi ya 500!!Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮
Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Misaada ya nini wakati mnasema mna raslimali hadi wazungu wanawaonea wivu? Si mtumie hizo raslimali?Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine watu wamevunjiwa mali zao, watu wameharibu miundombinu ambayo ni matokeo ya Kodi zetu licha ya vyama vyote kuonya na kukemea lakini chadema wao hata kutoa tamko la kulaani hukana.🚮
Unaweza ona Mwenyekiti wa chadema analipwa mshahara huku hafanyi KAZI, unaweza ona kiti cha mwenyekiti wa chadema kimewekwa picha ya mwenyekiti na anasalimiwa Kila siku na Viongozi wa chadema walioopo,,🤣
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?