kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Nchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana.
Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko.
Watu wanachelewa kanisani, na kwenye shughuri zingine eti mwenge ambao wako ndani ndani wanazindua na kufanya uzinduzi miradi midogomidogo huko ndani ya kata.
Swali la kujiuliza, kwanini usimamishe shughuli muhimu zingine kwenye barabara kuu wakati mwenge uko ndani ndani huko? Hasara zinazo sababishwa na mwenge ni nyingi.
Mwenge ni liability na ukiulizwa faida zake utaelezwa blabla tu.