Hili jambo Mwaka juzi niliwahi lisema Mahali.
Bob tulikaa lisaaa na madakikaa kisa Makamo wa Rais anategemea kupita.
Mambo ya KISHENZI kabisa haya, Ukoloni mkubwa na mambo ya hovyo yanayoendelea kuwatukuza viongozi kama watu Fulani hivi "Maalumu".
Saa Zima , umepotezewa muda, mambo yako binafsi , kisa Msafara wa mwenye au Kiongozi anaenda kuzindua Vyooo vya Shule !!!
Mambo ya Aibu haya !! ...
Na yalivyo na speed Kali , Kila uchwao lazima yasababishe Ajali !!.
Ni Ujinga, Upuuzi ambao hauwez kukukuta Mahali popote hapa Duniani.
Na Hii Mentality inapaswa IKOME MARA MOJA.