kagoshima Ohayo gozaimasu. Bado kuna hasara ya kusambaza "umeme" kwenye mkesha wa mwengeInchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana. Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. magine lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko. Watu wanachelewa kanisani, na kwenye shughuri zingine eti mwenge ambao wako ndani ndani wanazindua na kufanya uzinduzi miradi midogomidogo huko ndani ya kata. Swali la kujiuliza kwanini usimamishe shughuli mhimu zingine kwenye barabara kuu wakati mwenge uko ndani ndani huko. .hasara zinazo sababishwa na mwenge ni nyingi.
Mwenge ni liability na ukiulizwa faida zake utaelezwa blabla tu.
Hili jambo Mwaka juzi niliwahi lisema Mahali.
Bob tulikaa lisaaa na madakikaa kisa Makamo wa Rais anategemea kupita.
Mambo ya KISHENZI kabisa haya, Ukoloni mkubwa na mambo ya hovyo yanayoendelea kuwatukuza viongozi kama watu Fulani hivi "Maalumu".
Saa Zima , umepotezewa muda, mambo yako binafsi , kisa Msafara wa mwenye au Kiongozi anaenda kuzindua Vyooo vya Shule !!!
Mambo ya Aibu haya !! ...
Na yalivyo na speed Kali , Kila uchwao lazima yasababishe Ajali !!.
Ni Ujinga, Upuuzi ambao hauwez kukukuta Mahali popote hapa Duniani.
Na Hii Mentality inapaswa IKOME MARA MOJA.
Mkuu kagoshima, mbona hii ni kawaida sana kwenye mbio za MwengeNchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana.
Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko.
Watu wanachelewa kanisani, na kwenye shughuri zingine eti mwenge ambao wako ndani ndani wanazindua na kufanya uzinduzi miradi midogomidogo huko ndani ya kata.
Swali la kujiuliza, kwanini usimamishe shughuli muhimu zingine kwenye barabara kuu wakati mwenge uko ndani ndani huko? Hasara zinazo sababishwa na mwenge ni nyingi.
Mwenge ni liability na ukiulizwa faida zake utaelezwa blabla tu.
Mzee Pascal Mayalla unaweza kutukumbusha faida ulizozipata kwenye mikeshe ya mwenge enzi zako za ujana kama hutojali.....huenda tukajifunza mengi.Mkuu kagoshima, mbona hii ni kawaida sana kwenye mbio za Mwenge
P
Hamia Burundi
Mkuu Proved, usikumbushe na usipime!, ni balaa!. Mapokezi Ya Mwenge Dodoma: Wilaya ya Bahi Yafanya Kufuru!.Mzee Pascal Mayalla unaweza kutukumbusha faida ulizozipata kwenye mikeshe ya mwenge enzi zako za ujana kama hutojali.....huenda tukajifunza mengi.
Kwani haiwezekani kupishana nao barabarani. Trump ni kichaa lakini alikuwa sahihi shithole countries!Nchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana.
Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko.
Watu wanachelewa kanisani, na kwenye shughuri zingine eti mwenge ambao wako ndani ndani wanazindua na kufanya uzinduzi miradi midogomidogo huko ndani ya kata.
Swali la kujiuliza, kwanini usimamishe shughuli muhimu zingine kwenye barabara kuu wakati mwenge uko ndani ndani huko? Hasara zinazo sababishwa na mwenge ni nyingi.
Mwenge ni liability na ukiulizwa faida zake utaelezwa blabla tu.
Nitajie faida mbili measurable za mwenge mkuu. Achana na hizo blablaUbatizo wa moto, lazima kila mtanzania asimame na kukiri hii alama muhimu ya kisiasa.
Kutoka maktaba online:
Mwaka 1958, muasisi wa Taifa la Tanganyika, Mwalimu Julius Nyerere alitamka, kwa niaba yetu, kwamba tungependa kuwasha mwenge na kuuweka juu ta Mlima Kilimanjaro, umulike nje ya mipaka yetu na ulete tumaini kila kusiko kuwa na tumaini, upendo kulikojaa chuki, na heshima kulikojaa dharau.
Haya ni maneno yaliyofanana sana na yale ya Mtakatifu Francisco wa Asissi, ambaye aliyafunga maisha yake katika utumishi na huduma kwa masikini ingawaje alitokana na familia tajiri ya mjini Assisi na katika ujana wake alishiriki katika biashara na kukuza ukwasi wa baba yake.
Baada ya “kuona mwanga,” Francisco aliukana ukwasi wa familia yake na akajikita katika utumishi wa watu na viumbe hai wengine. Ni kwa heshima yake ulianzishwa utawala wa Wafransiska (Franciscans) ambao itikadi yao inakumbatia umasikini na unyenyekevu katika utumishi wa Mungu na watu wake