Tumesimama kama lisaa hivi kusubiri msafara wa Mwenge upite

Mwenge wa Uhuru unaita mambo ya kipuuzi? Upe heshima Mwenge, hata msafara wa Rais ukikutana na msafara wa Mwenge Rais atasimama Uhuru Torch upite.
Uwe na adabu unapozungumzia kuhusu Mwenge wa Uhuru
taja japo faida mbili measurable za mwenge boss. Achana na hizo blabla za kishirikina
 
Duh!Mkuu wakikudaka!!
 
Ni binafsi naona kuna shida shehemu kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mwezi huu wa nane tumesumbuliwa na kunyanyaswa sana Mbeya. Rais yupo Tukuyu sisi huku mjini tunafungiwa barabara na tunasimamishwa pembeni. Hili waliangalie wanatupotezea muda mwingi sana.
 
Kheri yenu nyie ni leo tu, Dar kila siku misafara inaleta foleni...
 
Genki desu Tanzaniano Tozo seikatsu muzukashi. Kagoshima dou desuka. Du! Kumbe bado naweza kuomba maji ya kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…