KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.

Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame.

Yaani ni kama wanachaguana kwa kujuana kama mtu hawakuelewi hawakusainii wanakwambia baki kituoni kwako.

Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya kumlipa mtumishi pindi anapohama
 
Back
Top Bottom