Tumetoka mbali; Angalia Kariakoo Dar es Salaam mtaa wa Kongo 1920

Nimefikiria mbali karibu ya 99% ya watu wanaonekana hapo kwenye picha hawapo tena duniani
Kweli dunia ni mapito
Sio 99% ni 120%, hakuna kinachoonekana kwenye picha kilichopo sasa hivi, kuanzia miti hadi nyumba na watu. JK.Nyerere kazaliwa 1922 mwaka huu angefikisha miaka 103 na hayupo Duniani, hao wahuni waliobarehe kwenye picha utawatoa wapi leo!???..., maisha ni mafupi sana, watu hawajui tu...
 
Nyerere alikuwa hajazaliwa na amekufa tayari ameisha kuwa mzee. 2025-1920
 
BIla hata ya kutumia deep intelligence analysis, mbona huo ni uongo kabisa. Mwaka 1920 watu wapo katika mavazi hayo? Are you serious? 1920 watu wamevaa viatu, ndala na wengine wamechomekea😀😀? Halafu suruali zina luxi na wanaonekana kuvalia mikanda😁😁

Wengine wamevaa hadi hadi saa mkononi. Kwanini watu mnapenda kupelekana na kuingaza huko machakani? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…