baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mzee wa kuokota okota Twitter.
Sina uhakika ila ukiniambia magomeni naweza kukubali, ama kama ni Congo basi ile inayoenda jangwani na sio part hii ya uhuru hadi Tandamti, aya Majengo ya NHC yanayovumjwa Kkoo sasa hivi mengi yalikuwepo Since 1920 na kuna Picha Mohamed Said aliweka humu za Kariakoo zamani
Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s
Ukiingia humo unaona Soko la zamani kabla ya kujengwa 74 lilivyokua.
Hizi pia picha nyengine za Kkoo 1919-1960
Ukiangalia hizi picha kwa mbali unaona maghorofa near Kkoo na sio vibanda vya makuti.