baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mzee wa kuokota okota Twitter.
Yaani itakuwa labda kilkuwa pori kabisa aseeh.... Tungepata history na kumbukizi ya huu mji ingependeza sana.a very good question...kama mjini centre palikuwa hivi, huko kulikuwaje...
PoriTandale yangu na mwanNyamala ilkuwaje ?
Hilo kundi lote hapo sidhani kama yupo hata kiumbe mmoja tu anayepumua na kula ugali mpaka mwaka huu wa 2025!! Na hili liwe funzo kwa wale ndugu zangu wanao ogopa kifo!
Dah, hawa jamaa wana hatari. Yani wao wapo dunia nyingine kabisa.hapa tutafika kweli?
iStock
iStock. Die offizielle iStock-Website bietet Millionen exklusive, lizenzfreie Dateien. Um die perfekte Foto, Video oder Vektor finden, nach unserer Sammlung jetzt.www.istockphoto.com
Nimefikiria mbali karibu ya 99% ya watu wanaonekana hapo kwenye picha hawapo tena duniani
Kweli dunia ni mapito
Nimemiss miguu na vidari vya bei chee niende tandalePori
Hapo aliyekuwa na 10yrs kama bado yuko hai basi this 2025 atakuwa na 115yrs, literally they're all dead by now.Nimefikiria mbali karibu ya 99% ya watu wanaonekana hapo kwenye picha hawapo tena duniani
Kweli dunia ni mapito
Daah Dunia tunapitia hii nyomi asilimia kubwa IPO futi sita chini ya ardhi