Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

Midevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
274
Reaction score
437
Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali.


Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa toka miaka hiyo?
 
Back
Top Bottom