rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Tumbo hili hili la kawaida, au tumbo maalum lijalo kwa sababu maalumu na kwa jinsia maalumu peke yake?!
hilo la jinsia maalumu pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbo hili hili la kawaida, au tumbo maalum lijalo kwa sababu maalumu na kwa jinsia maalumu peke yake?!
mnh! Sie wanaume wabaya... Huyu Salama si mshikaji wetu kabisa huyu... yaani bado tu na huyu hatutaki kumwachia!! Yaani sipati picha wakati huo ndo anaelekea peak, yuko hoi... tilalila, hajiwezi kwa hili wala lile huku akielea elea dunia nyingine na hapo ndo nature inamdhihirishia jinsia yake ya asili!!hilo la jinsia maalumu pekee