Mkiona hawa wazungu wanajidai kuingia siasa za ndani, sio kwamba wanatupenda wanatafuta mtaji wa kupata au kuongeza nchi katika kundi lao na baadae watumie kundi hilo kuwepo mstari wa mbele vita ikianza.
Hawa wanaokuja kusema asinyongwe mtu kwani nani aliwaambia kuna mtu atanyongwa ,akili kichwani mwenu, huko kwao kuna nuka baruti na kama hamjui najua hamjui amerika jeshi lake kubwa ni wageni nikimaanisha wanajeshi sio wamarekani asilia, hivyo hata wakiwapeleka kwa mamilioni hawana hasara ,sijui mmpeona hapo?
Wengi wao ni kutoka Afrika,nepal na nchi zingine za kimasikini ,umasikini wetu usitufanye kunyanyasika na kuingilia mambo ya ndani ,ndio kama mnavyosikia AFRICA wameanza kuamka ,sasa wanatumia haya mambo ya kesi kujiingiza eti waonekane wana tujali na kuwajali wa Tanzania, waulizeni WaLibya.
Wanataka kuwachomeka vibaraka wao, wanasema bandari mbona hawasemi almasi dhahabu na hawatufukulii mafuta, Tanzania siku ikifukuwa mafuta ujue gari zote zitakuwa zinatumia umeme na tukianza kutumia za umee kutakuwa zipo za Hydrogen, hawapendi maendleo yetu.