Tumeumbuka! Shilole na Vanessa wameonyesha Watanzania tulivyo wambea!

Tumeumbuka! Shilole na Vanessa wameonyesha Watanzania tulivyo wambea!

Wanaume mnaokaa sebuleni kutwa nzima mnaangalia Bongo Movie na Instagram page za kinamama ndio mmeumbuliwa. Mi nilikuwa nafuatilia football mpaka mwisho wa season. Leo mmesutwa siku nyingine mtaliwa kiboga.
 
Kuna mshakji hapo ofisini yeye masaa 24 yuko huko insta anamfuatilia sijui diamond, alli kiba afu usenge wake anataka atushirikishe upuuz anaousoma huko insta, namuonaga ka punga hivi
 
Mkuu inabidi ukubali kuwa ili iitwe jamii ni lazima kuwe na watu tofauti, wenye uelewa tofauti na mitizamo tofauti.

Katu hatuwezi wote kuwa Sawa kiuelewa.

Tungekuwa wote ni Watakatifu, wote ni werevu, wote tuna hela, na hakika Dunia isingenoga.

Tukubali kwamba tupo tofauti na kila mtu ana umuhimu wake katika sehemu yake.
NIMEJADILI HIZO ASILIMIA ZAKO
 
Back
Top Bottom