Mkuu inabidi ukubali kuwa ili iitwe jamii ni lazima kuwe na watu tofauti, wenye uelewa tofauti na mitizamo tofauti.
Katu hatuwezi wote kuwa Sawa kiuelewa.
Tungekuwa wote ni Watakatifu, wote ni werevu, wote tuna hela, na hakika Dunia isingenoga.
Tukubali kwamba tupo tofauti na kila mtu ana umuhimu wake katika sehemu yake.
NIMEJADILI HIZO ASILIMIA ZAKO