Aisee shida nini unalewa hivo vi castle lite ama?? Ukila balimi NNE na kisichana utajinyea weweHabari za weekend wadau nipo Tabata hapa Kb paradise napiga bia mbili Tatu lakn castle lite wenyewe wamekiri kua wamevamiwa na Serengeti lite na Bei mpya ni 2000... For sure we've been hacked.
Kwa mikono.....hahahhaaaaaaaNimeingiaje humu , aaghrh aaggrh
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Nmecheka hadi usingiziAisee shida nini unalewa hivo vi castle lite ama?? Ukila balimi NNE na kisichana utajinyea wewe