Tumevamiwa..!!

Tumevamiwa..!!

Masue 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
696
Reaction score
1,222
Habari za weekend wadau nipo Tabata hapa Kb paradise napiga bia mbili Tatu lakn castle lite wenyewe wamekiri kua wamevamiwa na Serengeti lite na Bei mpya ni 2000... For sure we've been hacked.
 
Yaan inaonesha umelewa ,ghafla umejikuta umefungua jf,
 
Pombe sio chai hahahahhahaaaaaaa.........khaaaa hii nayo thread au????
 
Nimeingiaje humu , aaghrh aaggrh
 
Kunywa ngwasuma (Safari larger) we vipi unakunywa pombe laini namna hiyo?
 
acheni ushamba .kunyweni localcognag uone ladha ya kupiga tungi !!
 
Back
Top Bottom