Bado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]
Samahani Natumia Browser sichek notifications sana..ngoja nipitiemkuu mbona nimekutumia ujumbe haujajibu, au ulikua unafurahisha jamvi
Kwa sheria za nchi mtu akikiuka dhamana si anapaswa kushikiliwa hada kesi iishe?Bado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]
Huyu bibie kawahiwa tayari?Ndiyo maana hata aliyekuwahi namuonea wivu. Una akili sana
Jinsi ulivopandisha huu uzi naona ka ulishusha pumzi Kwanza maana hukuamini ka atatua salama nchiniTanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.
Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
USHETANI; Hilo ndio tumaini LENUAfungwe tuu, kwa kuruka dhamana. Miezi 3, akitoka huko kesi ya msingi iendelee
Mbona watu mna roho mbaya sana. Mtu amekuja amebadilika kabisa mwili wote amekuja anavuta mguu wake na bado viungo kadhaaa mwilini vimefanyiwa marekebisho ila huruma hunaa,mtu aliepigwa risasi zotee hizo bila sababu na hata kama sbb ipo basi sio ya msingi kupelekea kuua mtu. Aiseee ushabiki mwingine au chuki zingine hata wanyama hawako hivyo.Afungwe tuu, kwa kuruka dhamana. Miezi 3, akitoka huko kesi ya msingi iendelee
Sioni mandalizi ya kuufanya uchaguzi huo kuwa wa haki na huru. Uchaguzi utabaki kuwa wa ovyo.
Safari hii jiwe ajiandae vizuri, akipora kura zetu tutamchomoa madarakani kama LAURENT GBAGBO alivyong'olewa kule Ivory Cost.Kama wameshazoea basi huo ushakuwa utamaduni wao kuporwa watulie tu.
Kwa mujibu wa waangalizi wa kimataifa, General elections zote nchi hii huwa huru na haki toka 1995.(Hata ule uliofutwa na Jecha)
Wakati huo hao losers hawajawahi kukubali matokeo toka 1995.
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.
Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
Bado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]
Huru na haki kwa mujibu wa nani?
Mh mie naona bado hata kwenye kuaga wamewazuia.
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Hiko kigingi bado hakijavukwa mkuu, ndugu zako bado wako wanapitia mafaili yao muda wowote wanaliamsha dude hata kabla ya uchaguzi.
Afungwe tuu, kwa kuruka dhamana. Miezi 3, akitoka huko kesi ya msingi iendelee
Wameonyesha dharau watafikaje uwanjani wamechelewa? wamejikuta wao kina nani😕😕😕😕wamekomeshwa kama walikuwa wanataka kiki imebuma wakaitafute Lupaso kama watafanikiwa😕😕😕
YOU ARE RIGHT MAN, tupo msibani vurugu zitatuchafulia CV na kutengeneza historia mbaya kwa vizazi vyetu. soon
serikali haina Haja ya kuendelea kuhangaika na lisu.mateso aliyopata yanatosha.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huoni kuwa una mapungufu kichwani? Serikali ikubali kuanguka!! Nasema kuonesha kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki mpaka TL ashinde asiposhinda hakuna atakayekubali kuwa ulikuwa huru na haki. Ndivyo tulivyo hatuna jemaSerikali ikiacha haki itendeke kama ilivyokuwa uwanja wa ndege Jumatatu Tundu Antipas Lissu atashinda urais October asubuhi na mapema.
Hayo yote yamekwishafanyika, na mwitikio wa "watu wenye akili" kama wewe hauridhishi, tutaendelea na kutoa elimu, na kuzihusisha jumuiya za kimataifa.Tume hiru hamtaipata kama zawadi kwenye meza za chakula cha usiku. Hamridhiki kuna option 2 tu, mtulie msijihusishe na uchaguzi unaoratibiwa na kisimamiwa na tume husika au mbebe kila mnachoweza muingie barabarani mkapimane vifua na mapoti.
Kama hamfanyi chochote kati ya hayo basi hamjui mnachokitaka na hamna yeyote mwenye akili atawasikiliza
Jpm hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kutoiba. Hashindi. Amini nakwambia
THUBUTU,mapokezi yake yenyewe yalijaa vibaka na wavuta bangi ambao sio wapiga kuraSerikali ikiacha haki itendeke kama ilivyokuwa uwanja wa ndege Jumatatu Tundu Antipas Lissu atashinda urais October asubuhi na mapema.