Sawa hatujakataaYalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Kwani haujui kwamba kuongeaongea kunasaidia mmeng'enyo wa chakula kuwa mzuri?Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Kwanini hatilutaki kuendeleza chuma tulicho nacho Liganga na Mchuchuma ili tuweze kujitegemea?Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
ila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni NdugaiYalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Hivi huwaga mnalipwa shilingi ngapi?mara muandikapo ujinga kama huuYalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Jamaa wapuuzi sana, yaani utafikiri enzi ya Magufuli hakukuwa na upinzani wa hoja mbalimbali kutoka huko huko CCM. Kupinga kwa hoja ni suala mtambuka.Hivi huwaga mnalipwa shilingi ngapi?mara muandikapo ujinga kama huu
Hapo ndio tunapofeli, CCM ni maandishi tu ila waliopo CCM ni watu ambao pengine waweza kuta babu yako yumo, mkeo yumo, sio ajabu ukakuta hata mwanao anatumbukia kwenye shimo hilo hilo. Kama Tanu ilimg’oa muingereza kwa nguvu ya hoja basi jua na CCM wanapaswa kuondolewa kwa nguvu hiyo hiyo, eye for an eye. Other than that everything is business as usual.nyie mafisi wa ccm parureni sana na ikibidi muuane kabisa ili mtuachie nchi yetu.
Ni kweli,tena watulie kimya maza anachapa kaziYalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
ila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni Ndugai
kwa sasa anapiga kelele mara oh maji yanakatika, mara umeme sasa amekuja na la mikopo wakati kipindi cha mwendazake sijawahi kuona ananyanyua mdomo
Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
kwenye jamii kuna watu wako kimyaaa unawaona wana busaraaa sasaa siku apate upenyo aongeee hahaaaaa waishia sema bora angekaa kimyaaaKwani haujui kwamba kuongeaongea kunasaidia mmeng'enyo wa chakula kuwa mzuri?
Wakipigiwa simu tu ya "nimeona ahsante" huwa inatosha.Hivi huwaga mnalipwa shilingi ngapi?mara muandikapo ujinga kama huu
Kwa hiyo umeme umetulia? . Kuna watu nazani hamkai hii nchi. Ni hivi, watu wameamua wawasubiri tu hiyo 2025 maana nchi imeshawashinda hii.Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Umeme unakatika wapi muda huu kama sio uongoKwa hiyo umeme umetulia? . Kuna watu nazani hamkai hii nchi. Ni hivi, watu wameamua wawasubiri tu hiyo 2025 maana nchi imeshawashinda hii.
Kwa hiyo na wewe unafurahia tu kukopa pesa ya madawati?.