Tumewajua waanzilishi wa kelele

Tumewajua waanzilishi wa kelele

Wanasema uongo? Maji hayakatiki? Umeme haukatiki?

Kuwazuia watu kusema ni uoga. Ukikosea watasema, unachotakiwa ni kuwajibu kwa weredi kama alivyofanya Mheshimiwa Rais juu ya suala la kukopa.
Yameanza kukatika lini tangu ww umezaliwa..?
 
ila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni Ndugai
kwa sasa anapiga kelele mara oh maji yanakatika, mara umeme sasa amekuja na la mikopo wakati kipindi cha mwendazake sijawahi kuona ananyanyua mdomo

Inamaana umeme haukatik katiki??shit
 
Wakipigiwa simu tu ya "nimeona ahsante" huwa inatosha.
Nchi hii watu wenye uchungu na watu maskini ni wachache sana wengi wetu tumejikita kutetea mambo ya ovyo ovyo!!!Mtu anasifia ujinga halafu anapata waungaji mkono JF kisa tu wanachuki na Magufuli.
 
Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.

Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona

Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake

Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE

Acha kuongea vitu vya kijinga!!ina maana kwa sasa umeme upo stable?,,,makamba fanya kazi na KAZI ITAONGEA...Acha kupoteza muda wako huku kwenye mitandao na wkt mambo yapo ovyo
 
Chuki iko wapi
 
Umeamka kwenu hakuna umeme
Au umekariri
 
Umeme umetulia umesikia watu wanalalamika tena hivi nyie watu wa praise team mbona mnakuwa ni micuuunduu namna hiii!!!
 
Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.

Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona

Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake

Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Hadi unahitimisha bandiko lako hukumtaja mwanzilishi wa kelele hata mmoja pamoja na kujinasibu kwamba mmewajua........
 
Mleta mada ni mfano wa waTanzania wanaotakiwa kuufikisha nchi kwenye uchuki imara ya kati?
 
ila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni Ndugai
kwa sasa anapiga kelele mara oh maji yanakatika, mara umeme sasa amekuja na la mikopo wakati kipindi cha mwendazake sijawahi kuona ananyanyua mdomo
Kuna mijitu huko ccm haitaki kuamini kwamba lile DUBWASHA limekufa. Watu hawa wanatusumbua sana. Kila kitu kipo kwenye katiba kwamba raisi akifa nani afanye nn? Wao DUBWASHA Limekufa mama kapewa nchi wao wanaanza ujingaujinga wao mara shule za uongozi mara nn sijui
Sukuma gang shenzi sana hawa
 
Back
Top Bottom