Yameanza kukatika lini tangu ww umezaliwa..?Wanasema uongo? Maji hayakatiki? Umeme haukatiki?
Kuwazuia watu kusema ni uoga. Ukikosea watasema, unachotakiwa ni kuwajibu kwa weredi kama alivyofanya Mheshimiwa Rais juu ya suala la kukopa.
ila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni Ndugai
kwa sasa anapiga kelele mara oh maji yanakatika, mara umeme sasa amekuja na la mikopo wakati kipindi cha mwendazake sijawahi kuona ananyanyua mdomo
Nchi hii watu wenye uchungu na watu maskini ni wachache sana wengi wetu tumejikita kutetea mambo ya ovyo ovyo!!!Mtu anasifia ujinga halafu anapata waungaji mkono JF kisa tu wanachuki na Magufuli.Wakipigiwa simu tu ya "nimeona ahsante" huwa inatosha.
Na picha pia iwekweUmesahau kuweka namba ya simu
Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
Mijitu ya sisiyemu ni milafi sana inawaza kula tuUmekunywa chai
Hadi unahitimisha bandiko lako hukumtaja mwanzilishi wa kelele hata mmoja pamoja na kujinasibu kwamba mmewajua........Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua.
Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona
Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado hajaanza kukopa kama mwendazake
Mtaropoka sana
Kumbukeni Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan
2025-2030
#KAZI IENDELEE
kwani kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?Inamaana umeme haukatik katiki??shit
Mkapa wa kwanza alipomuambia asiseme serikali ya Magufuli Bali aseme ni serikali ya CCM. Vipi kuhusu Kinana, Membe, na wengine ambao wao inasemekana walimtukana kabisa… kwa maelezo zaidi msome Pascal Mayalla hapo chiniNitajie mwana CCM aliyempinga magufuli
Kuna mijitu huko ccm haitaki kuamini kwamba lile DUBWASHA limekufa. Watu hawa wanatusumbua sana. Kila kitu kipo kwenye katiba kwamba raisi akifa nani afanye nn? Wao DUBWASHA Limekufa mama kapewa nchi wao wanaanza ujingaujinga wao mara shule za uongozi mara nn sijuiila mwenyewe naanza kupata wasiwasi haya mambo yanaanzishwa na wao mfano ni Ndugai
kwa sasa anapiga kelele mara oh maji yanakatika, mara umeme sasa amekuja na la mikopo wakati kipindi cha mwendazake sijawahi kuona ananyanyua mdomo