Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi.

Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa mingine ambapo kwa wiki umeme unakatika mara moja.

Hivi tumewakosea nini sisi watu wa Mwanza.
 
Tatizo la umeme ni nchi nzima siyo Mwanza pekee, hakuna maji, umeme, dola, petrol na gharama za maisha zipo juu haswa, maza anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom