Tumeyashinda mabepari, tumeyashinda mabeberu, tumewashinda vibaraka wao Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Robert Amstaderm

Ka nchi masikini kama haka ndo kanaweza kuwashinda mabeberu?

Kuondoka kwa Lissu tu ni ushahidi mwingine kuwa hatuna ubavu wa kuwazuia wanachotaka.
Kushindwa Kwa mandamano kimewafanya wote waliokuwa Wana shadadia Hilo kuonekana wote ni majike

Matamanio yenu sasa mfanyiwe na hao mabwana zenu, then nyie mjiite mashujaa!!

Kumbe wote ninyi ni mabolingo tu na huyo aliyetumwa na Mabeberu, kila upumbavu mtakaouunda juu ya TANZANIA utashindwa kama anavyoshindwa shetani ndugu yenu anayetamani damu ya Watanzania!!
 
Ka nchi masikini kama haka ndo kanaweza kuwashinda mabeberu?

Kuondoka kwa Lissu tu ni ushahidi mwingine kuwa hatuna ubavu wa kuwazuia wanachotaka.

Poor you Salary Slip kwa kuthibitisha kiwango chako cha kutokujitambua.

Ati Kuondoka kwa Lissu tu ni ushahidi mwingine kuwa hatuna ubavu wa kuwazuia wanachotaka ni akili gani hiyo.

Kwa taarifa yako Serikali imetumia "HEKIMA” ya hali ya juu kuepusha vurugu zilizokuwa zimepangwa kwa ujio wa Lissu na kuteuliwa kugombea Urais, kama ifuatavyo:
√ Aliruhusiwa kuingia nchini kwa usalama japo kauli zake akiwa Ulaya zilikuwa na kila sifa zote za uhaini;
√ Alishiriki mchakato wa Uchaguzi Mkuu kwa Uhuru akatumia Haki yake kikatiba hadi kuteuliwa na chama chake kuwa mgombea Urais, akathibitishwa na Tume. Kama unakumbuka Mzee Kambona alipigwa PO kugombea kwa sababu ya usaliti wa aina ya Lissu;
√ Alipewa ulinzi wakati wote wa kampeni japo kauli zake ziliashiria uvunjifu wa amani; na
√ hata kesi zake, ikiwa ni pamoja na shambulio dhidi yake, ziliahirishwa ili asipate kisingizio cha kuonewa.

Kwa sababu hiyo, njama za Mabeberu kwa kumtumia kibaraka wao zimebuma.

Kama Lissu alivyotumia nafasi yake kama mgombea Urais kupitia CHADEMA kulivyosababisha upinzani kushindwa vibaya, kutoroka nchi ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA. Hajawasaliti WaTz bali kawasaliti viongozi wenzake wa Upinzani na hasa chama cha Mbowe, mlevi wa kupindukia.

Nasubiri kuona na kwa jinsi gani Mbowe atakuwa na ujasiri wa kuongea na WaTz baada ya mgombea wake wa Urais kusepa, wakati alijua bayana alikuwa na Uraia wa Ubelgiji na tikiti ya kurejea huko. Wakaingizwa mkenge kuhamasisha " maandamano yasiyo na kikomo" wakati mgombea wao alikuwa tayari ameweka mazingira ya kuondoka.

NI AIBU TUPU kwa wanasiasa aina ya viongozi wa CHADEMA waliotumia muda wao wa uwakilishi kupinga maendeleo na kushinikiza Serikali iweke "lockdown".
 
Kama unayajua hayo basi ndio ujue kuwa nyuma ya tundu la wapi sijui kuna watu wana malengo yao tofauti mama kile wanachoaminisha watu.
 
Mkuu nimeipenda hiyo 'Mabolingo' ikiwa na maana ya Mazwazwa a.k.a Makorombwei.
 
Ka nchi masikini kama haka ndo kanaweza kuwashinda mabeberu?

Kuondoka kwa Lissu tu ni ushahidi mwingine kuwa hatuna ubavu wa kuwazuia wanachotaka.
Kila siku mtakuja na kauli mpya ya kujifariji.
 
Uneshinda kivipi?
Mtaani cement sh 35 unajua?
Labda mmeshinda njaa
 
Ndugu yangu,

Nina maswali machache tu:
1. Hao mabeberu ni kina nani? Au tutawatambuaje kuwa hawa ni mabeberu?
2. Wanawatumia "upinzani" kufanya nini? Ili iweje?
3. Kwa nini serikali iruhusu mwenye uraia wa nchi nyingine agombee, tena urais, nchini kwetu?
 
Kanywe Pepsi kwa mangi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
"Freedom and development are interdependent. If development is about people, who are both individuals and members of a society, there is consequently an organic link between genuine development and democracy. In the longer run neither is sustainable without the other." ~

Nyerere in Museveni, Y. (2000). What is Africa's problem? (1044092802 798470680 E. Kanyogonya, Ed.). Minneapolis: University of Minnesota.
 
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi vile, mtoa mada una chaji?
 
Nimecheka sana hizo degree zako. Kama ccm mpo hivi, kazi tunayo. Bosi degree ya kufoji, wewe hivyo hivyo
 
Alishindwa Nyerere tena zama za Giza ndo mtaweza nyie

..Nope!

..Nyerere / Mzanaki hakushindwa.

..Mzanaki aliwahi kutimua balozi wa marekani hapa Tz.

..Mzanaki pia aliwahi kuvunja mahusiano ya kibalozi na Ujerumani Magharibi.

..Mzanaki alikuwa hataki kabisa kuburuzwa-buruzwa na mabeberu.

..Nakuhakikishia Mzanaki asingeruhusu mabalozi wamtoe nchini mtu anayetakiwa kujibu kesi mahakamani.

cc Nguruvi3
 

Mbona njaa ilipompiga aliomba chakula ubeberuni why hakuomba china,
Why alipotaka kupinduliwa akuomba msaada China bali ubeberuni ndio walimsaidia.
Why aliishi kwa misaada na si kujitegemea.

Why aliuwa uchumi mzuri alioachiwa na wakoloni? Badala ya kuukuza zaidi.Aliingia dola moja ilikuwa ni sawa na shilling 6 na haijawahi panda imeshuka zaidi
 
Usituletee ukabila hapa.
Ukisema baba wa taifa inatosha sana.
 
Duh ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…