Tumezikumbuka Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa hasa sehemu za Mikoani

Tumezikumbuka Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa hasa sehemu za Mikoani

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Habari za usiku ndugu wajukwaa,

Kwanza niweke wazi, mimi ni kunguni na chawa mkubwa wa Kasimu Majaliwa Kasimu. Honestly nimekumbuka ziara zake huko Mikoani.

Sehemu ambayo inanikosha ni pale tu kwenye kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri na Mkoa

Majumuisho
Nafahamu Mh. Kasimu Majaliwa yupo humu, nakuomba na sisi watu wa Kaskazini hasa Arusha uzunguke wilaya zote hasa Arumeru, upitie Miradi ya Maji inayoendeshwa kwa nguvu za wananchi, uwastue Idara za Maji na Idara zingine.

Mwisho ufanye kikao cha majumuisho ya ziara yako kama ulivyofanya Mkoa wa Rukwa.

Nakuomba Mhe. najua wewe ni msikivu.
 
Back
Top Bottom