Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kipaji Halisi nimesha fika.Bujibuji kuJa pande hii haraka sana
hapo hapana shaka ukizingatia ni mahala maarifu kwa jf members....
Avatar ya ukweli aisee,
sisy mi nitakunong'oneza
cha kumfanya huyo @buji2!!
atakoma kuringa!!
Kipaji Halisi nimesha fika.
Ila nina huzuni kubwa moyoni, kondoo wangu mpendwa Zion Daughter kaanguka dhambini
umeona eeeee!!Avatar ya ukweli aisee,
Mzima lakini?
mm naona pale LEO TENA PUB kwa Mtambuzi panafaa kwa maombi wee waonaje hilo?
Alikuwa anakutaka hana ulokole wowote..
Avatar ya ukweli aisee,
Mzima lakini?
Punguza wivu basi Passion Lady ni rafiki tu mbona we na Mentor nimewapotezeaumeamua kujibatiza kwa mwenginee au heee haya!
Punguza wivu basi Passion Lady ni rafiki tu mbona we na Mentor nimewapotezea
Punguza wivu basi Passion Lady ni rafiki tu mbona we na Mentor nimewapotezea
Kwenye kufunga naunga mkono ila mie mtaniruhusu niwe napiga japo KINANA tatu za moto to keep my spirit moving...!