Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

petermussa

New Member
Joined
Jul 24, 2025
Posts
4
Reaction score
5
Ushuhuda wa Takwimu
Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi
Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku

Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako
Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi aliyopata mteja baada ya kutumua bidhaa yako
Mfano: Nilianza kutumia mafuta haya mwezi uliopita, sasa ngozi yangu.......

Tumia Nukuu/Quotation
onesha nukuu mbalimbali za wateja wakiongelea kuhusu bidhaa yako pia unaweza kutumia nukuu/quotation za watu maarufu zinazohusiana na huduma unayotoa

Ushuhuda wa watu maarufu
Tumia watu maarufu/celebrities kutoa shuhuda kuhusu bidhaa yako Jina kubwa linaongeza heshima na imani

Unapata changamoto kutengeneza maudhui kwa ajili ya biashara yako
Tuwasiliane 0755 248929
Peter Mussa (social Media Manager)
 
Back
Top Bottom