Tumia chumvi kufanya scrub na kuboresha ngozi yako

Wewe lazima utakuwa ni Mkongoman,vipi una kibali cha kuishi Tanzania.Kwa taarifa yako tukimaliza zoezi la kuhakiki vyeti vya taaluma tunahamika kuhakiki uraia.

hahahahahahahahahaha duuuh jf itavunja mbavu zangu
 
Hata mi chumvi naiogopa sana usoni huwa naitumia kuscrub miguu,pia uson ntajaribu kwa kweli nione maajabu yake.
 
Wewe ndio wale wanaume wana vipele kwenye ndevu kama nungunungu halafu umekomaa hutaki tiba. Na kwapa jeusi utafikiri umeweka bandeji hahahaha!!!

Staarabika bwana Ngongo misimamo mingine ni ushamba tu
Mkuu binafsi napenda mwanaume wangu awe soft na mtanashati...asiwe wale wanaume 'beautiful' but pamoja na sura ya kiume but yenye muonekano mzuri. Napenda scrub kwa mwanaume pia.
 
Scrub ya chumvi? Chumvi hii hii? Kwa kweli watu wanapotea. Scrub ya chumvi labda wafanye vibaka!

Unapofanya scrub na chumvi unaifanya ngozi kuwa tolerance na kipigo. Ni ngumu kuvimba au kuchanika usoni kama utafanya scrub kwa chumvi!

Sasa inatumika Kama urembo na utanashati?
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wewe ndio wale wanaume wana vipele kwenye ndevu kama nungunungu halafu umekomaa hutaki tiba. Na kwapa jeusi utafikiri umeweka bandeji hahahaha!!!

Staarabika bwana Ngongo misimamo mingine ni ushamba tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwamba vipele kama nungunungu?!
 
Scrab nzuri ya asili chukua manjano, liwa, asali na limao changanya kisha nawa uso wako na maji baridi baada ya hapo paka mchanganyiko wako usoni kaa nao kwa muda kiasi kisha kuwa kama unasugua uso taratiiibu baada ya hapo osha uso wako utakuwa poa sana
 
Inafaa kwa aina zote za ngozi?
 
Back
Top Bottom