TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba na piga kama unavyopiga viatilifu vya kiwandani....
.
piga kila baada ya wiki mbili &
Uzuri wa kiatilifu hichi ni cha asili kabisa na hakina madhara kwa binadamu...na endapo itatumia njia hii kamwe hautasikia wadudu shambani kwako ...
.
Pia utakua umejiepusha na magonjwa ya virus kwani magoniwa haya huletwa shambani na wadudu aina hizi mbili (apdhis&whitefly).. k
.
#NB; endapo utatumia kiatilifu hichi..twashauri usitumie zao hilo kwa chakula kwa muda wa masaa 24
.
RAHISI NA SALAMA
.