Tumia Kompyuta ndani ya kivinjari chako! (Free and Open Source)

Tumia Kompyuta ndani ya kivinjari chako! (Free and Open Source)

dgombusi

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
141
Reaction score
200
Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi.
41F76220-7F17-4C2E-B830-3C65472063B2.jpeg

Live demo

Puter unaweza kutumika kama:

  • A privacy-first personal cloud to keep all your files,
  • A platform for building and publishing websites, web apps, and games.
  • An alternative to Dropbox, Google Drive, OneDrive
  • A remote desktop environment for servers and workstations

IT:ASSIST Dombusi Tech Company
 
Ina support OS zipi....!?.
Puter haitumii OS kama unavyofikiria kwamba lazima uinstall kwenye kompyuta yako mwenyewe.

Ni huduma ya wingu (cloud service) inayokuwezesha kutumia OS hiyo kupitia kivinjari kama Google Chrome,
na vinginevyo. Kwa hivyo, ni Internet OS
 
unaweza kujaribu kuingia kupitia kiungo hiki Puter uone jinsi inavyofanya kazi. Ni rahisi kutumia
 
Back
Top Bottom