Tumia Macho uliwe kichwa...

we sema kitakachomgusa mtu atajirekebisha...usiposemwa huwezi piga hatua ya maisha kusemwa kupo snaaa tuuu..usiogope kusemwa ee mwanamke mwenzangu ndo kujifunza huko...ila bila yesu ni kazi bureee..mtumainie yeye
 
Na kazi za kawaida tu nyumbani hawezi... sku ya pili tu kufika ndani ya ndoa mada ya kwanza ni kupata mjakazi🙄
 
Na kazi za kawaida tu nyumbani hawezi... sku ya pili tu kufika ndani ya ndoa mada ya kwanza ni kupata mjakazi🙄

LOOH ..ACHA UTANI NA WEW..hivi mnatuona wanawake tu dhaifu kiasi hicho eeh..shame on you..we are strong women
 
we sema kitakachomgusa mtu atajirekebisha...usiposemwa huwezi piga hatua ya maisha kusemwa kupo snaaa tuuu..usiogope kusemwa ee mwanamke mwenzangu ndo kujifunza huko...ila bila yesu ni kazi bureee..mtumainie yeye
Easy easy easy, cool down mamy
 
Na kazi za kawaida tu nyumbani hawezi... sku ya pili tu kufika ndani ya ndoa mada ya kwanza ni kupata mjakazi🙄
Beki tatu wenyewe ndo hawa wa mwendo kasi???
 
yap na ndoa huja yenyewe ila ukiitafuta tuu madhara ndio hayo. hongera kwa kuwakumbusha.
 
Kuna kipindi unaweza kudhani mwanamke ana kuactia lakini kumbe ndo ukweli wenyewe mwenzio kafika aendako.Na kitu kingine mwanamke aliyefundishwa kuishi na mume kukuita majina mazuri mazuri likiwemo jina la kifalme kabisa 'mume wangu' ndio huba zenyewe zinapoanzia.Je ni nini faida yake?
Mwanamke yeyote dunia hii huwa hajiwezi mbele ya mwanaume mwenyekujiamini na mkali kiasi najua yupo atayesema sio wote lakini mimi narudia tena ni wanawake wote.Hivyo basi mafunzo ya mwanamke ya kumuita majina mazuri mumewe faida yake kubwa ni kumuongezea
mume uwezo wa kujiamini awapo nae nahivyo mwanamke nae kumfurahia sana mumewe na kumuona ndiyo kila kitu kwake kadri nature ya kujiamini ya yule mume itavyokuwa imepanda.Sijui kama naeleweka vizuri.
 
Anhaaa, Dah ungeendelea kushusha nondo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…