Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kazi za kawaida tu nyumbani hawezi... sku ya pili tu kufika ndani ya ndoa mada ya kwanza ni kupata mjakazi🙄
Easy easy easy, cool down mamywe sema kitakachomgusa mtu atajirekebisha...usiposemwa huwezi piga hatua ya maisha kusemwa kupo snaaa tuuu..usiogope kusemwa ee mwanamke mwenzangu ndo kujifunza huko...ila bila yesu ni kazi bureee..mtumainie yeye
Hakika na kweli. Yesu anabadilisha maisha.Unauhakika na UNACHO KINENA?
Anhaaa, Dah ungeendelea kushusha nondo mkuuKuna kipindi unaweza kudhani mwanamke ana kuactia lakini kumbe ndo ukweli wenyewe mwenzio kafika aendako.Na kitu kingine mwanamke aliyefundishwa kuishi na mume kukuita majina mazuri mazuri likiwemo jina la kifalme kabisa 'mume wangu' ndio huba zenyewe zinapoanzia.Je ni nini faida yake?
Mwanamke yeyote dunia hii huwa hajiwezi mbele ya mwanaume mwenyekujiamini na mkali kiasi najua yupo atayesema sio wote lakini mimi narudia tena ni wanawake wote.Hivyo basi mafunzo ya mwanamke ya kumuita majina mazuri mumewe faida yake kubwa ni kumuongezea
mume uwezo wa kujiamini awapo nae nahivyo mwanamke nae kumfurahia sana mumewe na kumuona ndiyo kila kitu kwake kadri nature ya kujiamini ya yule mume itavyokuwa imepanda.Sijui kama naeleweka vizuri.
Huu upumbavu sasa duuh!!ahahaaaUkijamba tu unaulizwa " vipi mume wangu , hujaumia?? " [emoji16][emoji16][emoji16]