Tumia mafuta kidogo kwenye gari yako kwa umbali ule ule wa siku zote

Tumia mafuta kidogo kwenye gari yako kwa umbali ule ule wa siku zote

PETEROPTIMIST

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
80
Reaction score
17
Bithaa mpya toka USA iitwayo XTREME FUEL TREATMENT ni bidhaa itumikayo kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama GARI,PIKIPIKI,GENERATOR,BOAT,TRENI,MITAMBO YA MIGODINI N.K.

Bidha hi huchanganywa na mafuta kwenye tank la chombo chako na kusafisha mafuta na baada ya mafuta kuwa yamesafishwa chombo chako kitatumia kiasi cha mafuta kinachotakiwa.

KWA MAELEZO ZAIDI TUTAFUTANE KUPITIA: 0653732909/0768732909
Napatikana kimara dar es salaam.
asanteni
 
Sawa Peter Msaro kwa kuwa verified member!
 
Mkubwa ukishatumia hiyo bidhaa yako mafuta hayaishi?! Kama ni ndio ina maana kila ninapojaza mafuta nahitaji kutumia hiyo bidhaa?! Bei yake ikoje maanake isije kuwa consuption inapungua halafu naongeza gharama nyingine kwa hiyo bidhaa yako! Na inanihakikishia vipi usalama wa mfumo wa mafuta in general....injector pump, fuel pump, nozzle, carburator etc.....
 
kabisa jitahidi ufunguke kaka..ukiwa makini hiyo bidhaa itakuwa nawateja wengi sana..na ndicho tuangaliacho ktk market..
 
Hi nayo sijui ni desi nyingine??
Anyway mimi sijui
 
kaka tangazo bado halijitoshelezi funguka zaidi ili wengi tushawishike
Ana kisima chake mwenyewe cha mafuta ambayo hupelekesha engine kwenda bila hiyo nishati!!!!!
Tatizo hizi engine zilizotengenezwa kwa ajili ya hii nishati ya petroleum zitakufa ndani ya miezi sita!!!
 
nimewaelewa hii product ina kazi nyingi tofauti kwenye chombo chako nazo ni:
1•kusafisha mafuta km tujuavyo cku hizi mafuta yanachakachuliwa sana na pindi mafuta yatakapokua yameshafishwa na xtreme fuel treatment ndipo chombo chako kitapunguza ulaji wa mafuta kwa kutumia pure fuel
2• pia hutumika km kilainishi( lubricants) sababu mafuta yanapokua yamechakachuliwa hayachomwi yote yakaisha na yale yanayobaki huwa kama layer inayoitwa VARNISH na pia hayo hayo mafuta yasipochomwa vizuri hujikusanya kama carbon kwa hiyo mchanganyiko wa hii CARBON+VARNISH= INAFANYA ENGINE YAKO ISIDUMU KWA MUDA ILIYOTAKIWA IDUMU IKIFANYA KAZI( huchoka kwa muda mfupi)
 
na kwa upande wa bei inategemeana na ujazo 5 mls ni sh 7500 ambayo hiyo kwa yote inachanganywa kwenye mafuta lita 38, pia mls 10 ni sh 15000 hiyo kwa yote inachanganywa kwa mafuta lita 76 na kuna ujazo wa mls 29,59,118 .......
 
kwa mfano diesel iliyochanganywa na mafuta ya taa,hii fuel treatment inafanya nini ili iwe pure diesel???kuna chemical process gani inayoitoa mafuta ya taa kwenye ile diesel??na hayo mafuta taa yataenda wapi??

mimi natumia fuel treatment lakini ninayotumia inayeyusha uchafu uliomo kwenye mafuta[small particles] ambazo zinaziba nozzles na kusababisha miss,lakini mafuta yakichakachuliwa[yawekwe mafuta taa] hapo mpaka uyamwage hayo mafuta au yaishe kabisa.
 
na kwa upande wa bei inategemeana na ujazo 5 mls ni sh 7500 ambayo hiyo kwa yote inachanganywa kwenye mafuta lita 38, pia mls 10 ni sh 15000 hiyo kwa yote inachanganywa kwa mafuta lita 76 na kuna ujazo wa mls 29,59,118 .......

mkuu 5mls au 500mls???
 
sasa hapo chakuangalia n lengo la kuweka hicho kitu n kupunguza gharama kwhyo hicho kifaa hakiuzwi?
 
siyo kifaa na yenyewe ni jamii ya mafuta unachanganya na mafuta kwenye tank.
kwa bei ni package ya 5mls ni tsh 7500 inachanganywa kwenye mafuta lita 38, package ya 10mls 15000 inachanganywa na mafuta lita 76
 
kwahiyo wanaoweka lita mbili mbili haiwafai? lita 38 ni approx 80,000/= ukijumlisha na hiyo 7,500/=,ibabidi uwe na 90,000/= khaaaaa majanga hyo bidhaa yako
 
kuna package ambayo unatumia in form of drops hata mtu wa lita mbili ana weza tumia kwa kuweka drops kadhaa na utakavyotumia xtreme fuel treatment si kwamba unaongeza gharama ila ni kwamba kwa mfano ulikua unatumia mafuta ya lita 5 kwenda umbali flani xft itaongeza umbali zaidi kwa mafuta yaleyale@LBG
 
Back
Top Bottom