Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo package ni bei gani? tusaidie na sisi wenye majini wanywa mafuta barabarani...kuna package ambayo unatumia in form of drops hata mtu wa lita mbili ana weza tumia kwa kuweka drops kadhaa na utakavyotumia xtreme fuel treatment si kwamba unaongeza gharama ila ni kwamba kwa mfano ulikua unatumia mafuta ya lita 5 kwenda umbali flani xft itaongeza umbali zaidi kwa mafuta yaleyale@LBG