Tumia mafuta kidogo kwenye gari yako kwa umbali ule ule wa siku zote

Tumia mafuta kidogo kwenye gari yako kwa umbali ule ule wa siku zote

Miaka ya nyuma ilikuja kitu kinaitwa oko eti tyre ikikanyaga misumari inajiziba wakaanza kuwekewa wabunge baada ya muda ikapotea kabisa na ufanyaji kazi wake ilibaki kitendawili hadi leo
 
kuna package ambayo unatumia in form of drops hata mtu wa lita mbili ana weza tumia kwa kuweka drops kadhaa na utakavyotumia xtreme fuel treatment si kwamba unaongeza gharama ila ni kwamba kwa mfano ulikua unatumia mafuta ya lita 5 kwenda umbali flani xft itaongeza umbali zaidi kwa mafuta yaleyale@LBG
Hiyo package ni bei gani? tusaidie na sisi wenye majini wanywa mafuta barabarani...
 
Back
Top Bottom