PETEROPTIMIST
Member
- Nov 16, 2013
- 80
- 17
Mkubwa ukishatumia hiyo bidhaa yako mafuta hayaishi?! Kama ni ndio ina maana kila ninapojaza mafuta nahitaji kutumia hiyo bidhaa?! Bei yake ikoje maanake isije kuwa consuption inapungua halafu naongeza gharama nyingine kwa hiyo bidhaa yako! Na inanihakikishia vipi usalama wa mfumo wa mafuta in general....injector pump, fuel pump, nozzle, carburator etc.....
Ana kisima chake mwenyewe cha mafuta ambayo hupelekesha engine kwenda bila hiyo nishati!!!!!kaka tangazo bado halijitoshelezi funguka zaidi ili wengi tushawishike
nimewaelewa hii product ina kazi nyingi tofauti kwenye chombo chako nazo ni:
1•kusafisha mafuta km tujuavyo cku hizi mafuta yanachakachuliwa sana na pindi mafuta yatakapokua yameshafishwa na xtreme fuel treatment ndipo chombo chako kitapunguza ulaji wa mafuta kwa kutumia pure fuel
2• pia hutumika km kilainishi( lubricants) sababu mafuta yanapokua yamechakachuliwa hayachomwi yote yakaisha na yale yanayobaki huwa kama layer inayoitwa VARNISH na pia hayo hayo mafuta yasipochomwa vizuri hujikusanya kama carbon kwa hiyo mchanganyiko wa hii CARBON+VARNISH= INAFANYA ENGINE YAKO ISIDUMU KWA MUDA ILIYOTAKIWA IDUMU IKIFANYA KAZI( huchoka kwa muda mfupi)
na kwa upande wa bei inategemeana na ujazo 5 mls ni sh 7500 ambayo hiyo kwa yote inachanganywa kwenye mafuta lita 38, pia mls 10 ni sh 15000 hiyo kwa yote inachanganywa kwa mafuta lita 76 na kuna ujazo wa mls 29,59,118 .......