Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

Mafuta ya HABAT SOUDA yanatibu maradhi yote isipokua uzee na kifo!!!!!!!!!!
 
@Deshmo tunaomba utuambie dozi yake ulitumiaje. Tatizo hili la vidonda linasumbua watu wengi. MziziMkavu msaada Dr.
VIDONDA VYA TUMBO
Kama una kidonda changanya matone kumi ya mafuta ya habat soda katika kikombe cha asali na kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Kula mchanganyiko huu kabla ya kula chakula baadaye kunywa glasi ya maziwa yasiyotiwa kitu chochote tumia kutwa mara 3 kwa siku 3 au siku 7 utapona.
 
Asante Sana MziziMkavu Na haya maziwa ni mtindi au fresh mkuu. Hilo tuu naomba ufafanuzi. Natunguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Hii tiba ni nzur na hongera sana mana ni tiba ya kisunna na najua umepata muda wa kuichambua kwa ufup hapo albat soda inatibu maradhi mengi
 
Asante Sana MziziMkavu Na haya maziwa ni mtindi au fresh mkuu. Hilo tuu naomba ufafanuzi. Natunguliza shukrani
Mbona unauliza Swali la kitoto Maziwa tangu lini yakawa mtindi? Maziwa mbali na mtindi mbali. Maziwa kwa kiingereza yanaitwa Milk na Mtindi kwa kiingereza unaitwa yogurt sasa hapo nimekusidia Maziwa fresh sio mtindi.
 
Mkuu manufaa yanaoneka kua mazuri...ila ni vyema watu ukawafafanulia baida habat saudaa ya unga na ya mafuta....Mimi kidogo umeniacha kwenye matayarisho ya Habbat Saudaa kwenye kutibu figo/kibofu cha mkojo...mkuu hapa ni muhimu sana kwa sisi wanajeshi...ufafanuzi kidogo...kwa sababu naona uwiano wa Habbat Saudaa na asali safi hauko sawa...hapa utapata kitu kama mktae hii...samahani mkuu..lengo langu ni kujifunza sio kukufedhehi....

KIBOFU/FIGO

Kama unasumbuliwa na kibofu cha mkojo au figo, tumia asali kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Changanya vikombe viwili vya habat soda iliyosagwa na ½ (nusu) kikombe cha asali safi.

Kunywa kijiko kimoja cha mchanganyiko huu pamoja na kikombe kimoja cha maji ya moto kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Mchanganyiko wa asali na habat soda unaweza kukaa kwa siku 15 tu na hifadhi kwenye baridi
 
Vipi kisukari Dr inatibu

Dawa ya Ugonjwa wa KiSukari (Diabetes)


Utachukua unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kikombe kimoja, manemane (myrrh) iliosagwa kiasi cha kijiko

kikubwa, habbarrashad nusu kikombe, komamanga iliosagwa kiasi cha kikombe kimoja, mzizi wa kabichi

uliosagwa baada ya kukaushwa kiasi cha kikombe kimoja na kijiko kidogo cha mvuje. Vyote hivyo

atavichanganya na atakula kabla ya kula chakula kiasi cha kijiko kimoja, atakula na maziwa lala ili iwe

rahisi kumeza.
 
MziziMkavu;9079888]PUMU
Weka kijiko cha unga wa Habbat Soda iliyochemshwa katika maji yaliyochemshwa kisha unywe ikiwa ya moto.
Kama Nina habaat soda ya mafuta?
 
Kama unahitaji halisi pure blackseeds oil wasiliana nami mara nyingi nasambaza maeneo tofauti mikoani 0752995192 kwa sasa niko Geita nikitokea Mwanza. Kisha ntarudi Dsm.
 
Kawaida yako kwa parkage tofauti na bei tofauti na nadhani pia quality tofauti, ahsante mzizi mkavu mi nimekuwa nikishughulija na haya mafuta kuuza kwa miaka mitatu sasa nilishangaa baada ya kumuona mzee aliyekuwa amepooza kwa miaka mitatu anatembea baada ya kutumia chupa sita. Na nilipigwa na butwaa zaidi baada ya kumuona mtu akipona kwa dakika kumi tu.. tangu hapo niligundua ni kitu cha thamani mno.. nimekuwa nikisambaza na kufundisha kuhusu haya mafuta maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Now niko Geita. Nadhani tunachohitaji zaidi ni elimu coz mengine ni feki. Nawasilisha.
 
Wasiliana nami kama unahitaji kufahamu kwa undani yanatibu vipi na nini zaidi. 0752995192
 
Watanzania sasa nikama wasenegali na wanaijeria tu usipokuwa mjanja utatapeliwa sana
 
Ya nchi gani ndio mazuri?nimewahi kununua ya Pakistan? Au nitajuaje ni quality Nzuri?

Ulinunua tsh ngapi mara nyingi huchezeshwa kwenye bei pure huuzwa tsh 15000. Bt napo pia kuna mtihani kidogo coz yapo ya Dubai yanaitwa mult blackseed oil. Yako ya india. Bei nadhani sina hakika nayo bt nadhani ya pakstani ni halisi bt pia ni vema ukajiridhisha kuwa umeyatambua kabla hujampa mgonjwa wako. Coz mwili si sehemu ya majaribio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…