Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VIDONDA VYA TUMBO@Deshmo tunaomba utuambie dozi yake ulitumiaje. Tatizo hili la vidonda linasumbua watu wengi. MziziMkavu msaada Dr.
VIDONDA VYA TUMBO
Kama una kidonda changanya matone kumi ya mafuta ya habat soda katika kikombe cha asali na kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Kula mchanganyiko huu kabla ya kula chakula baadaye kunywa glasi ya maziwa yasiyotiwa kitu chochote tumia kutwa mara 3 kwa siku 3 au siku 7 utapona.
Mbona unauliza Swali la kitoto Maziwa tangu lini yakawa mtindi? Maziwa mbali na mtindi mbali. Maziwa kwa kiingereza yanaitwa Milk na Mtindi kwa kiingereza unaitwa yogurt sasa hapo nimekusidia Maziwa fresh sio mtindi.Asante Sana MziziMkavu Na haya maziwa ni mtindi au fresh mkuu. Hilo tuu naomba ufafanuzi. Natunguliza shukrani
PUMUKaka naomba unielekeze vzr hapo kwny pumu.
Mkuu Habbat Soda inatibu maradhi mengi mpaka Virusi vya Ukimwi inatibu hiyo Habbat Soda.Hii tiba ni nzur na hongera sana mana ni tiba ya kisunna na najua umepata muda wa kuichambua kwa ufup hapo albat soda inatibu maradhi mengi
Mkuu Habbat Soda inatibu maradhi mengi mpaka Virusi vya Ukimwi inatibu hiyo Habbat Soda.
Vipi kisukari Dr inatibu
Wasiliana nami kama unahitaji kufahamu kwa undani yanatibu vipi na nini zaidi. 0752995192
Ya nchi gani ndio mazuri?nimewahi kununua ya Pakistan? Au nitajuaje ni quality Nzuri?