Tumia mianzi bamboo kama mbadala wa nondo kwenye zege wakati wa ujenzi

Tumia mianzi bamboo kama mbadala wa nondo kwenye zege wakati wa ujenzi

Slab za maghorofa ya zamani zilijengwa kwa miti hadi ghorofa nne kabla ya ujio wa nondo na yalidumu hadi Leo
 
Duh kweli ugumu wa maisha ndiyo umetufikisha hapa,kuokoa gharama kusije kukaleta maafa makubwa
Labda ajengee green house ambazo ni temporary.

Vinginevyo hii ni upotoshaji wa kiwango cha lami
 
Slab za maghorofa ya zamani zilijengwa kwa miti hadi ghorofa nne kabla ya ujio wa nondo na yalidumu hadi Leo
Ulikuwa ni ujenzi maalum na wenye maumbo maalum.
Hata daraja linaweza kujengwa kwa mawe na cement pekee lkn kwa umbo maalum
 
mtoa mada ni vyema andiko lako liwe na nyama ya kutosha kuna watu watalipinga kwa sababu hawaelewi na umeshindwa kuwalewesha vya kutosha. kwa proof zaidi za wapi mianzi imetumika na kuleta matokeo.

na wewe unayebishi unaongea wakati hujui structure stability ya mianzi si kwa sababu haujawahi kuona kitu ndo usibishe bali ulizia zaidi uweze kupewa elimu

kama mtaalamu wa ujenzi najua structure stability ya mianzi inaweza tumika maeneo mengi tu ya ujenzi ikiwemo zege ila kwa uangalizi wa design ya structure engineer
 
Back
Top Bottom