mtoa mada ni vyema andiko lako liwe na nyama ya kutosha kuna watu watalipinga kwa sababu hawaelewi na umeshindwa kuwalewesha vya kutosha. kwa proof zaidi za wapi mianzi imetumika na kuleta matokeo.
na wewe unayebishi unaongea wakati hujui structure stability ya mianzi si kwa sababu haujawahi kuona kitu ndo usibishe bali ulizia zaidi uweze kupewa elimu
kama mtaalamu wa ujenzi najua structure stability ya mianzi inaweza tumika maeneo mengi tu ya ujenzi ikiwemo zege ila kwa uangalizi wa design ya structure engineer