Tumia Nywila (Password) kuzima simu yako

Tumia Nywila (Password) kuzima simu yako

Bwana mwizi akaikwapua cm yangu, chap akawah pale k/koo kwa wale wenye masters za kuflash...si atakua amefanikiwa kubreach security level zote mkuu.

Au unijuze kama kuflash kuna process ya kuverify owner
 
Expert upo sahihi kabisa,unajua kwenye simu kuna mambo mengi ila huwa hatuyafuatilii,kwa mfano kuna maintanance mode hii itakusaidia simu ikiwa kwa fundi iwe salama,kwa maana fundi hawezi kupekua data zako muhimu,baadhi ya data hazionekani ukiweka maintanance mode on,mpaka uweke off ndio simu inarudi katika hali yake ya kawaida

Kifupi kuna tuvitu vitu vingi ila hatuvifuatilii
Tunaipatia kwa wapi hii
 
Back
Top Bottom