Tumia pesa zako vizuri, kumbuka unavyokuwaga kama mgonjwa ukiwa huna pesa

Tumia pesa zako vizuri, kumbuka unavyokuwaga kama mgonjwa ukiwa huna pesa

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆

Sina ata mia mbovu mfukoni walaah.

Niwatakie Jumapili njema kwakweli mniache kwanza.
 
FB_IMG_17175892511633112.jpg
 
Usikae ndani mkuu, ingia mtaani kajichanganye nao kuna vitu utajifunza tu. Hauko peke yako mkosa pesa.
 
Mie pia ilikuaga hivo, nlikua nahisi kuuumwa panapouma sipajui, stress, natia huruma, chozi lipo karibu kuna muda nalia hata bila sababu.....😁
 
Wasichana wasiovumilia hapa ndipo wanamwaga maji kwenye teremshi ili watu wateleze mungu fanya wepesi kwa viumbe wako.
 
Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆

Sina ata mia mbovu mfukoni walaah

NIWATAKIE Jumapili njema kwakweli mniache kwanza
Lakini si tulikubaliana JF wote tunaishi masaki na ndinga zetu range newmodel na vieitee
 
Ka uwezi iyo nilokuomba nisaidie ata nusu ... Ama nkopee kutoka kwa rafiki yako
 
Back
Top Bottom