Tumia shabu kupunguza kipenyo cha duara lako

Tumia shabu kupunguza kipenyo cha duara lako

Inasemekana waliitumia Bibi zetu katika kurekebisha sehemu zao,,, hii ilipelekea Babu zetu kufuraia Utamu [emoji3]
Wadada/Wamama kazi kwenu,,[emoji12]
Kilio cha samaki machozi kwenda na maji, kwa kuandika "Inasemekana" umeshajiwekea kinga madhubuti, hakutakua na wakukulilia kwa maana huna uhakika, atakaejaribu atajibeba.
 
Tumia shabu au ndimu yote bure, la maana punguzeni kubeba mizigo. Hiyo yake sabuni na maji tu.
 
Kilio cha samaki machozi kwenda na maji, kwa kuandika "Inasemekana" umeshajiwekea kinga madhubuti, hakutakua na wakukulilia kwa maana huna uhakika, atakaejaribu atajibeba.
Eee bana,, wakati nanunua jamaa mmoja alihoji hiyo ya kazi gani? Babu mmoja alimjibu pia wanawake hutumia kurudisha bikra
 
Back
Top Bottom