Tumieni Condom, msidanganyike

Weka ushahidi hapa ilikuaje kuaje na imekuajekuaje sio maneno yanayoelea tu.
Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
 
Ulijuaje demu ana ngoma? Au ni story za kijiweni?
 
Pombe zikiisha kichwani kapime tena.
 
Hahaha kama ulikunywa ndio ukapima mwanangu umeingia chaka. Wewe tayari ushaungwa gridi ya taifa a.k.a CHAWAMBATA. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vijana acheni uzinzi,asiwadanganye mtu,ufalme wa Mungu unakaribia,zingatieni ushauri wangu utawasaidia
No kweli ninavyojua mm uzizi no dhambi pekee ifanyikayo ndani ya mwili wa MTU. Hii ni kinyume na maovu mengine. Na madhara take no makubwa kwani kiroho dhambi hurithiwa katika vizazi vya mhusika.
 
Pia kama anamuda mrefu anatumia ARV kwa usahihi inafika kipindi haambukizi kwa sababu viral loads yake ni ndogo
Hapa napo pana ukweli kwa kuwa kuna jamaa amewahi kumla Dada mmoja ambaye hakujua kama alishaambukizwa, ila baada ya kujua jamaa alipata taharuki balaa, cha ajabu alipokwenda kupimwa hakukutwa na virusi jambo ambalo hakuamini akilini mwake. Baadae ndiyo ilikuja kujulikana kuwa yule Dada alikuwa mtumiaji mzuri wa mahindi ya kuchoma. (ARV's). Lkn jambo hili halihalalishi uzinzi hata kidogo nijia bora ni kuoa na kujizuia kimwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…