dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezekeWeka ushahidi hapa ilikuaje kuaje na imekuajekuaje sio maneno yanayoelea tu.
Ulijuaje demu ana ngoma? Au ni story za kijiweni?Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Mabwawa ndio poaUlijuaje demu ana ngoma? Au ni story za kijiweni?
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Chai hiyoUlijuaje demu ana ngoma? Au ni story za kijiweni?
Pombe zikiisha kichwani kapime tena.Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Hahaha kama ulikunywa ndio ukapima mwanangu umeingia chaka. Wewe tayari ushaungwa gridi ya taifa a.k.a CHAWAMBATA. 😂😂😂😂Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Dokta sio mjinga kumwambia ni mzima, aliona hawezi kumpa ushauri wa maana sababu kautikwa wa kutosha kichwani... Kweli siku akapime akiwa mzima kichwani...Pombe zikiisha kichwani kapime tena.
No kweli ninavyojua mm uzizi no dhambi pekee ifanyikayo ndani ya mwili wa MTU. Hii ni kinyume na maovu mengine. Na madhara take no makubwa kwani kiroho dhambi hurithiwa katika vizazi vya mhusika.Vijana acheni uzinzi,asiwadanganye mtu,ufalme wa Mungu unakaribia,zingatieni ushauri wangu utawasaidia
Pia kama anamuda mrefu anatumia ARV kwa usahihi inafika kipindi haambukizi kwa sababu viral loads yake ni ndogoYaliyotepeta huwa hayaabukizi unaamsha amsha mpaka lilowane hakuna haja ya kondom
Ndio hivyo.Dokta sio mjinga kumwambia ni mzima, aliona hawezi kumpa ushauri wa maana sababu kautikwa wa kutosha kichwani... Kweli siku akapime akiwa mzima kichwani...
Hapa napo pana ukweli kwa kuwa kuna jamaa amewahi kumla Dada mmoja ambaye hakujua kama alishaambukizwa, ila baada ya kujua jamaa alipata taharuki balaa, cha ajabu alipokwenda kupimwa hakukutwa na virusi jambo ambalo hakuamini akilini mwake. Baadae ndiyo ilikuja kujulikana kuwa yule Dada alikuwa mtumiaji mzuri wa mahindi ya kuchoma. (ARV's). Lkn jambo hili halihalalishi uzinzi hata kidogo nijia bora ni kuoa na kujizuia kimwili.Pia kama anamuda mrefu anatumia ARV kwa usahihi inafika kipindi haambukizi kwa sababu viral loads yake ni ndogo
Tatizo utam sasaVijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Stori ya kijiwenUlijuaje demu ana ngoma? Au ni story za kijiweni?
Endelea kuamshaamsha mpaka yalowaneYaliyotepeta huwa hayaabukizi unaamsha amsha mpaka lilowane hakuna haja ya kondom