mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
🤣 🤣Halafu unaloweka kwa umakini ukimaliza unaenda kuosha
Yaliyotepeta huwa hayaabukizi unaamsha amsha mpaka lilowane hakuna haja ya kondom
Ndio ndio chief kupima ni muhimu ili kujua status ya afya yangu.We we ushawah kupima,
Ukimaliza tu kufanya mapenzi chukua sabuni nawaa ,hata kama demu anangoma kupata ni asilimia chini ya kumiHalafu unaloweka kwa umakini ukimaliza unaenda kuosha
Ama kweli ile kauli ya usifuate matendo yangu fuata maneno yangu imetimia leo....Vijana acheni uzinzi,asiwadanganye mtu,ufalme wa Mungu unakaribia,zingatieni ushauri wangu utawasaidia
Bila shaka unaukimwi tiari, nimesoma saikolojia wewe umeungua tiar hata kama hujawahi Pima, niamini mimiOna jinga hili....nadhani hujaona wagonjwa wa cancer wewe halafu awe na kakisukri amazing
Kama unaogopa ukimwi zama hizi kapimwe akili
Sasa kunywa mapombe yako zidisha akili ihamie kichwa cha chini ili ukamparamie tena kavu huyo dada, maana baona ile nyota ya HIV kama bado inakufatilia hivi. Afu Yanga ilikukosea nini mkuu ,siwapendi Simba nyie😏Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Mkuu watu wanaoa lkn bado wanapiga mechi za ugenini
Basi tu,nna arrange na njano pamoja na kijanSasa kunywa mapombe yako zidisha akili ihamie kichwa cha chini ili ukamparamie tena kavu huyo dada, maana baona ile nyota ya HIV kama bado inakufatilia hivi. Afu Yanga ilikukosea nini mkuu ,siwapendi Simba nyie[emoji57]
Ukimwi ni ajali kama zingine mkuu..,Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Yaliyotepeta huwa hayaabukizi unaamsha amsha mpaka lilowane hakuna haja ya kondom
Sasa mkuu unashauri tutumie condom kwa ajili ya HIV, umesahau kuna ugonjwa kama Hepatitis B ambao unateketeza kuliko ukimwi unasemaje kuhusu hilo, au ndio utasema tuvae nguo za nylon, ikija kwa Corona tuvae barakoa Sasa tukifata masharti yote tutakuwa tunafanya ngono au? Maana ukifata masharti yote kwenye uvaaji utaonekana kama wale Askari wa zimamoto! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2365][emoji2365][emoji2365]Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Incubation period ya ngoma ni miezi 3.... Kapime tena baada ya miezi 3 ukikuta hauna basi jiachie na K Vant kubwa...Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaliyotepeta huwa hayaabukizi unaamsha amsha mpaka lilowane hakuna haja ya kondom
Hivi kuna ambae hajui Ukimwi upo? Nawashangaaga sana mnaosemaga hivi.UKIMWI UPO.