Tumieni Condom, msidanganyike

Tumieni Condom, msidanganyike

hakuna kama 'nyama kwa nyama'

heri nipige punyeto kuliko kutumia ndom

ndom ni kama nyeto iliyochangamka
 
Kuliko ushauri kondomu bora ushauri kunyeto
 
Ona jinga hili....nadhani hujaona wagonjwa wa cancer wewe halafu awe na kakisukri amazing

Kama unaogopa ukimwi zama hizi kapimwe akili
 
Ona jinga hili....nadhani hujaona wagonjwa wa cancer wewe halafu awe na kakisukri amazing

Kama unaogopa ukimwi zama hizi kapimwe akili
Bila shaka unaukimwi tiari, nimesoma saikolojia wewe umeungua tiar hata kama hujawahi Pima, niamini mimi
 
Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Sasa kunywa mapombe yako zidisha akili ihamie kichwa cha chini ili ukamparamie tena kavu huyo dada, maana baona ile nyota ya HIV kama bado inakufatilia hivi. Afu Yanga ilikukosea nini mkuu ,siwapendi Simba nyie😏
 
Sasa kunywa mapombe yako zidisha akili ihamie kichwa cha chini ili ukamparamie tena kavu huyo dada, maana baona ile nyota ya HIV kama bado inakufatilia hivi. Afu Yanga ilikukosea nini mkuu ,siwapendi Simba nyie[emoji57]
Basi tu,nna arrange na njano pamoja na kijan
 
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Ukimwi ni ajali kama zingine mkuu..,

Kutumia condom ni sawa na kujitekenya huku unajichekesha mwenyewe..

Dawa ni kutulia na mmoja tu.
 
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
Sasa mkuu unashauri tutumie condom kwa ajili ya HIV, umesahau kuna ugonjwa kama Hepatitis B ambao unateketeza kuliko ukimwi unasemaje kuhusu hilo, au ndio utasema tuvae nguo za nylon, ikija kwa Corona tuvae barakoa Sasa tukifata masharti yote tutakuwa tunafanya ngono au? Maana ukifata masharti yote kwenye uvaaji utaonekana kama wale Askari wa zimamoto! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2365][emoji2365][emoji2365]

Dawa ni moja tu, tuache ngono!
 
Nilipiga demu mwenye ngoma, ila nilitumia condom,nimepiga kama mwezi mmoja, nilikua naogopa kupima.Leo nimekunywa pombe ili nipate confidence,nikaenda kupima Niko fresh, kuna agenda za mtaani eti condom haizuii ngoma, puuza utanishukuru baadae,HV hapa nipo napiga moja baridi moja moto,nikiwa na furaha kinomaaa,huku nikiangalia mechi ya yanga,naombea yanga ifungwe ili furaha yangu iongezeke
Incubation period ya ngoma ni miezi 3.... Kapime tena baada ya miezi 3 ukikuta hauna basi jiachie na K Vant kubwa...
 
Back
Top Bottom